Sunday, July 19, 2015

DIAMOND PLATNUMZ AITOA KIMASOMASO TANZANIA

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAAJABU YA LEO

MSANII Nassibu Abdul "Diamond Platnumz,amedhihirisha umahiri wake katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi kipya,nchini baada ya kuzidi kuitangaza Tanzania
Kimataifa kutokana na kufanikiwa kupata tuzo za MTV Africa Music Awards 2015,zilizofanyika nchini Afrika Kusini.

Katika kinyang'anyiro hicho hakuwa peke yake aliyeiwakilisha Tanzania kwenye Category 13 za MTV Africa Music Awards 2015, bali Diamond Platnumz aliwakilisha sambamba na Vanessa Mdee ‘Vee Money’…ambapo kura zilipigwa na fainali yenyewe kuwa jana ndani ya Durban South Africa ukumbi wa Durban International Convention Centre.

Katika fainali hizo Tanzania imetoka kifua mbele pia kwa mara nyingine, Daimond Platnumz kafanikiwa kupata ushindi wa Tuzo ya Best Live Act, ambapo alikuwa katika Category tatu tofauti na Vee Money alikuwa kwenye Category moja.

Kijana huyu anazidi kuitoa kimasomaso Tanzania katika medani ya muziki kimataifa,baada ya tasnia nyingine kama za soka,riadha,ndondi na michezo mingine kwa kipindi hiki kuonekana ni vichwa vya mwendawazimu kutokana na kutofanya vyema.

List ya Washindi wote hii hapa..

Best Female:

Yemi Alade (Nigeria) >>> Mshindi.

Bucie (South Africa)

Busiswa (South Africa)

Seyi Shay (Nigeria)

Vanessa Mdee (Tanzania)

Best Male:

Davido (Nigeria) >>> Mshindi

AKA (South Africa)

Diamond (Tanzania)

Sarkodie (Ghana)

Wizkid (Nigeria)

Best Group:
P Square (Nigeria) >>> Washindi.

B4 (Angola)

Beatenberg (South Africa)

Black Motion (South Africa)

Sauti Sol (Kenya)

Best New Act Transformed by Absolut:

Patoranking (Nigeria) >>> Mshindi.

Anna Joyce (Angola)

Cassper Nyovest (South Africa)

Duncan (South Africa)

Stonebwoy (Ghana)

Best Hip Hop:
Cassper Nyovest (South Africa) >>> Mshindi.

K.O. (South Africa)

Phyno (Nigeria)

Olamide (Nigeria)

Youssoupha (DRC)

Best Collaboration:

AKA, Burna Boy, Da LES & JR: “All Eyes On Me” (South Africa/ Nigeria) >>> Washindi.

Davido featuring Uhuru & DJ Buckz: “The Sound” (Nigeria/SA)

Diamond & Iyanya: “Bum Bum” (Kenya/Nigeria)

Toofan & DJ Arafat: “Apero Remix” (Togo/Ivory Coast)

Stanley Enow & Sarkodie: “Njama Njama Cow Remix” (Cameroon/Ghana)

Song of the Year:

Mavins: “Dorobucci” (Nigeria)>>> Washindi.

Cassper Nyovest: “Doc Shebeleza” (South Africa)

Euphonik featuring Mpumi: “Busa” (South Africa)

DJ Fisherman & NaakMusiQ featuring DJ Tira, Danger & Dream Team: “Call Out” (South Africa)

K.O featuring Kid X: “Caracara” (South Africa)

Lil Kesh Featuring Olamide & Davido: “Shoki Remix” (Nigeria)

Sauti Sol: “Sura Yako” (Kenya)

Toofan: “Gweta” (Togo)

Wizkid: “Show You The Money” (Nigeria)

Yemi Alade: “Johnny” (Nigeria)

Best Live:

Diamond Platnumz (Tanzania) >>> Mshindi.

Big Nuz (South Africa)

Flavour (Nigeria)

Mi Casa (South Africa)

Toofan (Togo)

Video of the Year:

“Nafukwa” – Riky Rick; Director: Adriaan Louw >>> Mshindi.

“Crazy” – Seyi Shay Featuring Wizkid; Director: Meji Alabi

“Doors” – Prime Circle; Director: Ryan Kruger

“Love You Everyday” – Bebe Cool; Director: Clarence Peters

“The Sound” – Davido Featuring Uhuru & DJ Buckz; Director: Sesan

Best Pop & Alternative:

Jeremy Loops (South Africa) >>> Mshindi.

Fuse ODG (Ghana)

Jimmy Nevis (South Africa)

Nneka (Nigeria)

Prime Circle (South Africa)

Best Francophone:

DJ Arafat (Ivory Coast) >>> Mshindi.

Jovi (Cameroon)

Laurette Le Pearle (DRC)

Tour 2 Garde (Ivory Coast)

Toofan (Togo)

Best Lusophone:

Ary (Angola) >>> Mshindi

B4 (Angola)

Nelson Freitas (Cape Verde)

NGA (Angola)

Yuri Da Cunha (Angola)

Personality of the Year:

Trevor Noah (South Africa) >>> Mshindi.

Basketmouth (Nigeria)

Bonang Matheba (South Africa)

OC Ukeje (Nigeria)

Yaya Toure (Ivory Coast)

MAMA Evolution (Category mpya): D’Banj (Nigeria) >>>> Mshindi.

Best International: Nicki Minaj (Mshindi)

Artist of the Decade: P Square (Washindi)

MTV Base Leadership Award: Saran Kaba Jones & S’Bu Mavundla (Washindi)
























KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI