Wednesday, December 6, 2017

MLOLWA BIG BOSS CCM SHINYANGA

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAAJABU YA LEO



M
abala Mlolwa,ndiye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Shinyanga,baada ya kuibuka na ushindi wa kishindo,katika Mkutano mku
u wa chama hicho.

Matokeo ya uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana Jumanne Disemba 5,2017 katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini Shinyanga,ni kama ifuatavyo;-.


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga



Mabala Mlolwa -702
John Festo Makune - 35
Colonel Ngudungi - 02


Mjumbe wa Halmashauri kuu CCM taifa 

 Gaspar Kileo - 702
Bernad Shigela - 33
Joyce Masunga-02

Msimamizi wa uchaguzi Naibu Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Abdallah Juma Magodi

Mabala Mlolwa

KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI