J
|
amhuri Kihwelu " Julio ",kocha
mwenye maneno mengi asiyeishiwa na vituko,ametamka kurejea katika soka la
Tanzania,akiwa
katika nafasi yake ya Ualimu wa soka,ambayo aliisusa kwa madai
aliyotoa kuwa kandanda la Tanzania,limetawaliwa na ubabaishaji.
Kocha huyo wa zamani wa Simba,Coastal
Union, Mwadui Fc,amesema anamipango wa Kurejea katika soka kama Kocha Licha
ya msimu wa Uliopita Akiwa kama Kocha wa Mwadui kutangaza kuachana na Ukocha
kutokana na mizengwe Iliyopo katika Soka.
Julio amesema anaamini wale waliokuwa wakileta Mizengwe katika Soka wanaelekea kutoka katika soka Hilo na Tayari Kuna Vilabu Ligi Kuu na Ligi daraja la Kwanza vimeshaonyesha nia ya Kumwitaji
KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI
Julio amesema anaamini wale waliokuwa wakileta Mizengwe katika Soka wanaelekea kutoka katika soka Hilo na Tayari Kuna Vilabu Ligi Kuu na Ligi daraja la Kwanza vimeshaonyesha nia ya Kumwitaji