
Z
|
uio lililofanywa na Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,la kusafirisha mchanga wa madini ya Dhahabu (
Makinikia )
kwenda kuchenjuliwa nje ya nchi kulikokuwa kukifanywa na Kampuni ya
uchimbaji madini nchini, ACACIA,kumesababisha hasara.
Kampuni hiyo ya ACACIA,inayomiliki
Migodi ya North Mara,Bulyanhulu na Buzwagi imetangaza kuwa imepata hasara ya
takribani Tsh bilioni 391.9 kwa kipindi cha miezi 6 kutokana na kuzuiwa
kusafirisha makinikia nje ya nchi.