
T
|
imu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo
29.6.2017 inatarajiwa kutupa Karata yake ya mwisho hatua ya
Makundi kundi A kwa kucheza Dhidi ya Mauritius .
Tanzania Inaongoza kundi Lake ikiwa na Points 4 na Magoli 2 yakufunga Ikiwa haijafungwa Goli hata moja. Nafasi ya Pili inashikwa na Angola ambao nao wanapoints 4 wakiwa na Goli 1 la Kufunga na wakiwa hawajaruhusu Goli hata Moja.
Nafasi ya tatu inashikwa na Mauritius ambao wana Points 1 sawa na Malawi walio nafasi ya nne, kinachowatofautisha ni Magoli ya Kufungwa.
Mauritius ana faida ya kufungwa bao moja Pekee, wakati Malawi wakiwa wamefungwa bao 2. KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI