ZITTO
Zuberi Kabwe,Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo na Mbunge wa Jimbo la
Kigoma Mjini,ameamua kuaga klabu ya makapera,baada ya kufunga ndoa na Anna
Mtura Bwana.
![]() |
Katika ndoa hiyo ambayo sherehe zake zilifanyika jana katika visiwa vya Zanzibar,zilihudhuriwa na ndugu wa karibu wa familia hizo mbili pamoja na marafiki wa karibu wa maharusi hao. |

Baada
ya kufungwa kwa ndoa hiyo,waalikwa walihudhuria sherehe zilizofanyika katika eneo
la Nungwi,Zanzibar.
KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI