JOTO la Uchaguzi
ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika kumpata atakayepeperusha bendera ya
Chama hicho katika wadhifa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,linazidi
kupamba moto mjini Dodoma.
KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI
kupamba moto mjini Dodoma.
Huku
hali ikiwa si shwari ndani ya CCM baada ya kukatwa majina makubwa kama
ya akina Lowassa , imeibuka hii ya fedha kukamatwa hotelini zikidaiwa
kupelekwa na miongoni mwa watangaza nia ya urais ili kuwapa wajumbe wa
NEC.
Taarifa hii hakuna aliyeithibitisha kutokea,kutokana na wahusika wa ngazi wa vyombo vya dola kutopatikana kwa wakati kuzungumzia suala hili.