N
|
i pigo kubwa kwa timu ya Simba Sport
Club,ambayo katika usajili wa msimu ujao ilianza kwa kasi na kishindo,na
kuwatia matumaini mahabiki na wapenzi wake kuwa imepania kurejesha hadhi yake.
Lakini watendaji wake wakuu katika zoezi hilo la Usajili,Rais wa timu hiyo,Aveva na Makamo wake Kaburu,wamejikuta mikononi mwa vyombo vya Dola.
Kupitia Makosa haya matano Kaburu na Aveva watakaa ndani mpaka July 13,
Hii Inatokana na Baadhi ya Makosa waliyokabiliwa nayo Hayaruhusu
Dhamana.Na kuwepo kwao mahabusu huenda kukakwamisha mikakati ya Usajili iliyokuwepo.
Makosa 5 yanayowakabili Rais wa Simba Aveva na makamu wake Kaburu
1. Kughushi Aveva alighushi nyaraka ili kujilipa deni ambalo inadaiwa aliikopesha Simba USD 300,000.
2. Nyaraka za uongo
Walitumia nyaraka za uongo ili kulipa deni kutoka benki ya CRDB.
3. Kutakatisha fedha
Tarehe tofauti Aveva na Kaburu walikula njama za kutakatisha fedha UDS 300000.
4. Kutakatisha fedha
Aveva alijipatia fedha kutoka Barclays bank tawi la Mikocheni.
5. Kutakatisha fedha Kaburu
Kaburu alimsaidia Aveva kupata pesa USD 300,000 kutoka Barclays Bank tawi la Mikocheni.
KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI