KAULI ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,John Pombe Magufuli na ile iliyotolewa na Jeshi la Polisi nchini,la kuzuia kufanyika kwa shughuli za siasa kwa vyama vya upinzani ikiwemo mikutano ya hadhara,kimekifanya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kuiburuza Serikali ya Tanzania kwenye Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki(EACJ).
Walalamikaji katika kesi hiyo ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa,Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu Bara,John Mnyika,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibamba.
Wakili wa walalamikaji katika kesi hiyo,John Malya,amesema msingi wa kesi hiyo unatokana na Polisi kuzuia mikutano ya siasa ya wateja wake.

Aidha Naibu
katibu mkuu CHADEMA Bara, Mnyika jana alisema wamefikia uamuzi huo
kutokana na ukiukwaji wa ibara ya 6 na 7 ya mkataba wa uanzishwaji wa
Jumuiya Afrika Mashiriki……..
Anasema"Inaletwa
mahakamani kwa kukiuka mkataba wa afrika mashariki ibara ya 6 na 7 ya,
tumeleta vielelezo vya barua yenyewe ya zuio la polisi kama ushahidi wa
kwamba kweli polisi wa Tanzania wametoa agizo kama hili, tumeleta
vielelezo vya mikutano ambayo imezuiwa, mikutano ya Kahama, mahafali ya
wanachuo wa CHADEMA kule Dodoma, mahafali yaliyofanyika Moshi"
KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI