USAFIRI wa abiria kwa kutumia garimoshi,kwa reli ya kati,umerejea baada ya kuwa umekoma na kusababisha kuleta adha ya wananchi wa kipato
chini,kumudu kusafiri baiana ya mikoa ya Dar Es Salaam na Kigoma,pia Jijini Mwanza.
chini,kumudu kusafiri baiana ya mikoa ya Dar Es Salaam na Kigoma,pia Jijini Mwanza.
Kampuni ya reli Tanzania (TRL) imesema
imerejesha tena huduma ya usafiri wa treni ya abiria na itaanza siku ya
jumapili juni 11,2017.
Akizungumza na wandishi wa habari Leo
jijini Dar es salaam kaimu mkurugenzi wa kampuni ya reli Tanzania
TRL Focus Sahani amesema kuwa uamuzi wa kurejesha huduma hiyo unafatia
kutengamaa kwa ukarabati wa daraja lilititia eneo la mto ruvu mkoa
Pwani na pia kukamilika kwa tathimini ya kiwango cha usalama
kinachoruhusu kupitisha treni za abiria.
Aidha Sahani ametoa wito kwa wasafiri na wananchi walioko Mwanza,Kigoma,panda na mtandao wa reli ya kati kwa ujumla kuwa wanaweza kukata tiketi za usafiri kama kawaida hadi Dar es salaam ama vinginevyo.
Aidha Sahani ametoa wito kwa wasafiri na
wananchi walioko mwanza,kigoma,mpanda na mtandao wa reli ya kati kwa
ujumla kuwa wanaweza kukata tiketi za usafiri kama kawaida hadi Dar es
salaam ama vinginevyo.