Saturday, June 10, 2017

MWENYEKITI WA WAENDESHA BODABODA MANISPAA YA SHINYANGA AJIUA KWA KUJINYONGA

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAAJABU YA LEO

malunde.com
Wananchi wakiwa nyumbani kwa marehemu Jacob Paul leo mchana
Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki maarufu bodaboda manispaa ya Shinyanga Jacob Paul (36) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa simu chumbani kwake katika mtaa wa Mwinamila kata ya Ngokolo katika manispaa ya Shinyanga.

Tukio hilo limetokea leo Jumamosi June 10,2017 mchana.
Tukio hili limetokea siku tano tu baada ya kutokea vurugu kati ya waendesha bodaboda na polisi baada ya mwendesha bodaboda mwenzao kufariki baada ya kukamatwa na askari wa usalama barabarani
Jacob Paul enzi za uhai wake
Chanzo:-Malunde 1 blog

KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI