Saturday, June 17, 2017

BREAKING NEWS:- GARI ZA ABIRIA WIBONELA,TAK-BIIR ZAGONGANA!

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAAJABU YA LEO



HABARI mpasuko zilizojiri kitambo,ni juu ya gari la abiria la Kampuni ya Wibonela Express lenye namba za usajili T158 CEX lililokuwa linatoka Dar es salaam kuelekea Kahama mkoani Shinyanga limegongana na basi la Tak-biir lenye namba za usajili T818 CYQ katika eneo la Kibaigwa mkoani Dodoma ambapo ujenzi wa barabara unaendelea.


Taarifa za awali zinasema watu kadhaa wamejeruhiwa.

Baadhi ya abiria waliokuwa kwenye basi la Wibonela wanasema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wao ambaye alikuwa anaendesha basi kwa mwendo kasi na hakujali malalamiko ya abiria wake kila walipomwambia apunguze mwendo.

"Hii ni mara ya pili,ya kwanza tulinusurika kupata ajali,alikuwa anaovatek 'anajaribu kuyapita magari mengini' bila  kuchukua tahadhari,ukiwaambia wanakuwa wabishi",wamesema.

KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI