Sunday, March 13, 2016

DR.MACHINJI KUVAA VIATU VYA DR.SLAA

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAAJABU YA LEO




HATIMAYE kitendawili cha nani kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo {CHADEMA }kimetenguliwa baada ya Dr. Vicent Machinji kuteuliwa kushika wadhifa huo na kupitishwa na Baraza Kuu la Chadema, katika kikao chake kilichokaa jijini Mwanza.



Katika Kikao hicho cha Baraza Kuu kilichodumu hadi saa nne usiku Machi 12,2016 ambapo Freeman Mbowe alitangaza jina la Dk. Machinji na kuungwa mkono na wajumbe wa baraza hilo, hivyo anajaza nafasi iliyoachwa na Dk. Willibrod Slaa, aliyejienguwa ukatibu mkuu wa chama hicho.


Jina la Dk. Machinji halikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema ambao walikuwa wanatarajiwa kumrithi Dk. Slaa kwani waliokuwa wanatabiriwa kukalia kiti hicho ni Salum Ally Mwalimu, Frederick Sumaye, Benson Kigaila, John Mnyika, Dk. Marcus Albanie na Prof. Mwesiga Baregu.



Nafasi ya Katibu wa Chadema ilikuwa wazi tangu Dk. Slaa alipoondoka Chadema muda mfupi baada ya chama hicho kumpitisha Edward Lowassa aliyetokea CCM kuwa mgombea urais wa chama hicho na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
WASIFU WA KATIBU MKUU MPYA WA CHADEMA
Professional experience
July 2008 - Present
Clinical Advisor & TB/HIV lead
UMSOM-IHV


August 2006 - June 2008 (1 year 10 months)


ART Program Doctor/IMA team lead
IMA Worldhealth


October 2005 - August 2006 (10 months)



Medical Officer/Anaesthesiology
Regency Medical Centre



August 2003 - October 2005 (2 years 2 months)



Medical Officer
Muhimbili National Hospital


November 2002 - August 2003 (9 months)



Research Assistant
Freelance


September 2001 - October 2002 (1 year 1 month)



Intern Docor
Muhimbili National Hospital

Education history
August 2010 - Present


Open University of Tanzania
PhD


April 2010 - April 2010

AMREF/UCLA Anderson School
MDI Certificate



September 2007 - March 2010 (2 years 6 months)


Blekinge Institute of Technology
MBA

May 2008 - May 2008

UMSOM-IHV
IPEP Certificate



October 2005 - October 2005


Evin School of Management
Certificate in CSR



September 2003 - April 2005 (1 year 7 months)


Muhimbili University College of Health Sciences
MMed/Anaesthesiology


September 2004 - September 2004



Muhimbili University College of Health Sciences
Certificate in Research Methodology




October 1995 - July 2001 (5 years 9 months)


Makerere University
MBChB


July 1992 - June 1994 (1 year 11 months)



Mzumbe High School
ACSEE


January 1988 - October 1991 (3 years 9 months



St. Pius X Seminary, Makoko
GCSEE


January 1981 - October 1987 (6 years 9 months)



Iligamba Primary School
Leaving Certificate/Primary School

KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI