Monday, October 31, 2016

TANZIA KATIKA TASNIA YA NGUMI,MASHALI AFARIKI.

BOFYA HAPA CHINI KUONA MAAJABU YA LEO


 

TASNIA ya ngumi chini imekumbwa na simanzi baada ya Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali,kufariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, 
Taarifa zinadai kuwa alishambuliwa na wananchi baada ya madai ya kuitwa mwizi.

Taarifa kutoka kwa Promota wake, Siraji Kaike amesema watu aliokuwa anagombana nao walimwitia mwizi na wakawa wamemshambulia na kumtupa baadaye bodaboda waliokuwa wanamjua Thomas Mashali walimuokota na kumpeleka hospitali ambapo baadaye zilitolewa taarifa kuwa amefariki.

KUONA VIDEO MPYA BOFYA HAPA CHINI